Saturday, 13 August 2016

DIAMOND ANAMKWEPA JUMA NATURE JUKWAANI

Mkongwe wa Bongo fleva, Juma ‘Nature’, amesema hawezi kufanya ngoma ya pamoja Diamond mpaka pale watakaposhindana jukwaani ili kubaini nani mkali kati yao.

No comments:

Post a Comment