Matokeo
ya awali ya uchaguzi wa urais nchini Zambia yanaonyesha kuwa mgombea wa
chama kikuu cha upinzani, Hakainde Hichilema mpaka sasa anaongoza kwa
kura.
Takwimu za Tume ya uchaguzi zinaonyesha Bw Hichilema yuko
mbele ya Edgar Lungu rais wa sasa wa zambia kwa kura zaidi ya elfu sita.
No comments:
Post a Comment