Wednesday, 17 August 2016

YANGA NA AZAM KUTOANA JASHO MAPEMA LEO

Yanga na Azam FC kukutana leo katika mechi maalum ya kugombea ngao ya jamii itakayochezwa katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam,ikiwa ni Mechi ya utangulizi kabla Ligi Kuu Vodacom (VPL) kuanza rasmi Wikiendi ijayo.
Hii itakuwa mara ya 4 mfululizo kwa Yanga na Azam FC kukutana kwenye Ngao ya Jamii na zote Yanga kuibuka kidedea.

No comments:

Post a Comment