DUH BIBI KATISHA SANA ASEEE WAKATI MWINGINE KUINGIA SEHEMU BILA YA KUJUA KUNAPONZA SANA HEBU SOMA HII
Mfalme alitaka kujua idadi ya makahaba ktk mji wake akawaambia wajipange foleni kuhesabiwa.
wakapanga mara bibi kizee akapita akamuona mjukuu wake katika foleni akamuuliza kuna nini
hapa? akamwambia "mfalme anagawa maembe bibi"
Bibi akaunga foleni kwa uroho wa maembe.
mfalme alipomfikia bibi akamuuliza hata wewe bibi? Bibi Akamjibu "mie tena ndio mtaalamu hadi kokwa
nanyonya"
No comments:
Post a Comment