Saturday, 13 August 2016

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI MADAI YA NDG KUTEMBEA NA BINAM YAKE

Makama moja nchini Kenya imetupilia mbali madai na mtu mmoja mara baada ya kumshitaki ndg yake kwa kutembea na binam yake(mtoto) wa shanagazi na mjomba wakisema ni kinyume na tamaduni za mwafrika.

Hakimu wa mahakama hiyo amesema hakuna sababu ya wao kumshikilia mshitakiwa ingawa mshitakiwa huyu alikuwa amesha pata hukumu ya miaka 10 jela na kukata rufaa na yy kushinda jana .

Hata hivyo hakimu huyo amsema suala la ndg hao wawili kuwa katika mahusiano ya kimwili kuna baadhi ya tamaduni z kiafrika zinaruhusu hivyo hakuna sababu ya yeyekuendelea kumfunga mvulana huyo.

Upande wa walalamikaji hawakuridhishwa na hukum hiyo na hivyo kuandaa mkakati wa kufungua kesi upya katka mahakama ya juu .

No comments:

Post a Comment