SERENGETI: Mkazi wa Kijiji cha Nyisense, Matiko Nyamanche(28) ameuawa
kwa kupigwa na wananchi akituhumiwa kuiba kifaranga cha kuku chenye
thamani ya Shilingi 1,500.
- Wananchi walimshambulia kwa silaha za jadi baada ya kutuhumiwa kuiba kifaranga hicho
No comments:
Post a Comment