Friday, 12 August 2016

BARNABAS AFUNGUA KANISA LAKE DAR...

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchi Barnabas maarufu kama Barnaba boy  amesema yupo mbion kufungua kanisa lake ili kuimarisha imani yake kwan kilakukicha anahisi kama muda unamuacha .

Ndio maana haipiti saa bila kuandika maandiko ya Biblia katika mitandao ya kijamii kama facerbook, Twitter na Istagram hata whatssapp.
Ikiwa kama atafanikiwa atakuwa ni msanii wa kwanza kuanzisha kanisa na kulihuidumia kwa nguvu zake na kuwa mfano wa kuingw hapa Tanzania.

No comments:

Post a Comment