Thursday, 11 August 2016

RAIS USO KWA USO NA Mh. KITWANGA ASEMA WAO NI MARAFIKI WA KWELI



Siku 80 tangu Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Dk J. P. Magufuli amtengue Mh. C. Kitwanga katika wadhifa wake jana walikutan auso kwa uso huku misungwi.

Rais amesema yy na Mh. Kitwanga ni marafiki wa muda mrefu, Rais ameyasema haya bada ya kukutana na kitwanga jimboni kwake huko jana.

Hii ni baada ya siku 80 tangu amtumbue kwa kosa la kuingia bungeni akiwa amelewa nan a kushindwa kujibu maswali wa wabunge na kuzua taharuki ya maswali mengu.

No comments:

Post a Comment