MAHAKAMA KUU YATUPILIA MBALI OMBI LA TALE
Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imelitupilia mbali ombi
la Mkurugenzi wa kampuni ya Tiptop connection Hamisi Shaaban Taletale maarufu kama babu tale la kuomba asikilizwe ili
afafanue kuhusu hati miliki zake na kwa nn hajazilipia
Hii imetokea jana katika
mahaka
ma hiyo jijini Dar es salaam wakati akisomewa mashitaka hayo.
No comments:
Post a Comment