Thursday, 11 August 2016

DAKTARI FEKI AINGIA TENA KAZIN


Polisi mkoani Songwe wana mshikilia kijana mmoja kwa anaejulikana kama Moses Mgalla kwa tuhuma ya kuruka kifunngo cha nje cha miaka mitatu kwa kosa la kufanya kazi ya udaktari bila ya kuwa na sifa ya udaktari huo,

No comments:

Post a Comment