TANZANIA KUJENGA KITUO CHA UKAGUZI KUDHIBITI MAGENDO NA MADAWA YA KULEVYA MIPAKANI
Waziri
wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge Ajira na watu wenye ulemavu
Mh. Jenister Mhagama amesema kwamba serikali itajenga kituo cha kukagua mizigo
katika eneo la mkenda mpakani mwa Tanzania na Msumbiji ili kudhibiti biashara
ya Magendo na dawa za kulevya pamoja na kudhibiti mitumbwi kubeba watu wengi na
kusababisha ajali katika mto Ruvuma
No comments:
Post a Comment