Thursday, 11 August 2016

SASA WAZIRI WA ARDHI ACHARUKA









Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi William Lukuvi amesema atawafutia na kuwanyang'anya hati wale wote wanaohodhi ardhi iliyokwishapimwa ndani ya miezi mitatu.

No comments:

Post a Comment