Thursday, 11 August 2016

WAZIRI WA HABARI ATOA NENO KWA WAANDISHI

WAZIRI WA HABARI ATOA NENO KWA WAANDISHI 


 Wazir wa habari sanaa na michezo Mh. Nape Nnauye ameziasa vyombo vya habari na waandishi wa habari vitakavyoroport mikutani, maandamano au habari za uchochezi vitachukuliwa hatua ikiwemo kufungiwa kwa kueneza uchochezi,

Ameyaema hao leo mapema asubuh mbele ya waandishi wa habari kwa lengo la kutoa somo  na kuendelza amani ya nchi yetu.

No comments:

Post a Comment