WALIMU WAKUU WAVAMIA KITUO CHA POLISI USIKU WA MANANE
MOROGORO wakuu zaidi ya 20 kutoka baadhi ya Wilaya za mkoa wa Morogoro
wamevamia Kituo kikuu cha polisi majira ya usiku wakisaka kibali cha
kuandamana kwenda kumuona Mkuu wa mkoa kulalamikia kufukuzwa na uongozi wa
elimu Mkoa kuhudhuria mafunzo ya tatu (kusoma,kuandika Na kuhesabu) maarufu kama KKK.
elimu iliyokuwa inatolewa katika chuo cha ualimu Morogoro kwa madai mafunzo hayo ni kwaajili ya
WALIMU wa kawaida huku na wao wakisema nilazima Mwalim Mkuu aende kujifunza kwan yy ndio msimamizi mkuu wa shule atabakiaje asijue kinachoenda kufunzwa huko? " alihoji Mwalim Kutoka kihonda.
na Ramadhan Kilima
No comments:
Post a Comment