KISUTU YATUPILIA MBALI MAOMBI YA KUONDOA SHITAKA KWA BILIONE WA DAKIKA KWA MILIONI 7
Mahakama
ya Hakimu mkazi kisutu imetupilia mbali Maombi ya kuondoa shitaka la
kutakatisha fedha linalomuhusu Yusufu Ally na mwenzake Samwel Lema ambao
wanakabiliwa na mashitaka zaidi ya mia ambayo yaliisababishia serikali
hasara ya bilioni 14.
No comments:
Post a Comment