Wednesday, 10 August 2016

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AFIKA KUJIONE HALI YA MKOA WA KIGOMA


Waziri wa mambo ya ndani ya nchi amewasili mkoa wa kigoma mapema leo akiwa na viongozi waandamizi wa mkoa wa Kigoma. Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Col.Marko Elisha Gaguti na Mkuu wa Wilaya Kasulu (kulia) Martin Mkisi.

na Ramadhan Kilima

No comments:

Post a Comment