Wanafunzi watatu wa shule ya wasichana ya St.Mary’s Nyamagwa nchini
Kenya wamepoteza maisha huku wengine 68 wakijeruhiwa baada ya basi
walilopanda kupata ajali eneo la Nyambunde kilomita takribani 400 kutoka
Nairobi.
Ajali hiyo imetokea baada ya wanafunzi hao kujumuika
kwenye safari ya kusherehekea kuletwa kwa basi hilo shuleni humo baada
ya kununuliwa hapo jana.
Wanafunzi watano hali zao ni mbaya.
No comments:
Post a Comment