Friday, 12 August 2016

BODI YA MIKOPO YATOA ANGALIZO KWA WAOMBAJI

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imewatahadharisha waombaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2016/2017 kuhusu kuwapo watu ambao huwapigia simu baadhi ya waombaji kwa lengo la kuwatapeli

No comments:

Post a Comment