Friday, 12 August 2016

WALIOKUFA KWA SUMUKUVU WAFIKIA 16


❖ Idadi ya watu waliokufa kwa ugonjwa unaosababishwa na Sumukuvu mkoani Dodoma imeongezeka kutoka 14 hadi kufikia 16 baada ya mtu mmojakufariki juzi
Wilayani Kondoa huku hali ya wengine ineendelea kutazamiwa

No comments:

Post a Comment