Kocha
wa timu ya riadha ya Kenya inayoshiriki michuano ya Olimpiki mjini Rio
de Janeiro, John Anzrah amerudishwa nyumbani kwa kosa la kuwadanganya
wakaguzi wa dawa za kusisimua misuli.
Kocha huyo alifanya udanganyifu huo baada ya kutoa sampuli ya mkojo wake kwa niaba ya mkimbiaji Ferguson Rotich (Pichani)
No comments:
Post a Comment