RAIS J. P. MAGUFULI AWASILI LUMUMBA KWA KISHINDO
Mwenyekiti
wa CCM Dkt.John Magufuli awasili Lumumba Dar es Salaam, mara baada ya
kumaliza ziara yake ya mikoa katika kanda za kati na Ziwa ikiwa ni mara
ya kwanza tangu achaguliwe kuwa Mwenyekiti wa chama hicho 23 Julai
2016.
Rais amewaasa maofisa wake waache tabia ya kuwanyanyasa wafanya biashara wadogo wadogo ktk jiji la Dar es salaam kwani wao ni watanzania kama wengine.
Pia amewaomba watanzania kudumisha amani hapa nchini nzima
No comments:
Post a Comment