Friday, 12 August 2016

GARI YA TEKETEA KWA MOTO MKOANI KIGOMA

Taharuki imewakumba wakazi wa mji wa Kibondo mkoani Kigoma baada ya gari dogo aina ya Land Cruser kuungua moto huku kukiwa hakuna jitihada za kuzima kutokana na wilaya hiyo kutokuwa na huduma ya magari ya zimamoto .

Walikuwa katika eneo hilo wamekiri kuwepo kwa uzembe wa wataalam wa kikosi cha kupambana na majanga marufu kama FIRE

No comments:

Post a Comment