Thursday, 11 August 2016

SASA WALIMU WASAFIRI BURE KATIKA TRENI KWA RAHA ZAO

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. P. Makonda amefanya mazungumzo ya kna na shirika la reli Tanzania na kukubaliana nao kuhusu walimu wa jiji la Dar.

Akizungumza na waandishi wa habari leo mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amesema " nimekamilisha mazungumzo na uongozi wa TRL kuhusu walimu waweze kusafiri kwa haraka na kwa urahisi kabisa shirika limeridhia walimu hao waweze kuwahi kazini kama watumishi wengine wa umma .

wataanza kusafiri kuto sehem mbali mbali za mkoa wa Dar na kuwahi makazin  kwa usafiri wa Treni pasina kulip9ia hata mia moja.

No comments:

Post a Comment