Mkuu wa mkoa wa Songwe Mh. Bi Chiku Galawa amepiga marufuku maandamano yeyote ktk mkoa kwake ilikuendelea kuilinda amanai ya nchii kwa mujibu wa mwandishi wetu kutoka songwe.
Bi Chiku amesema hana taarifa yeyote ya mkutano wa hadhara wala maandamano ya chama chochote ktk mkoa wake wa Songwe hadi jana jioni hivyo Tarehe mosi mwezi wa 9 haitaji kumuona mtu yeyote akijaribu au kudhubutu kuandamanaia au kufanya mikutan isiyo kuw arasimi ktk mkoa wake.
Akizungumza hayo ofisi kwake amkuu wa mkoa wa songwe Bi Chiku amewaomba wananchi kupuuza maneno ya kichochezi na ya uvunjifu wa amani ya Taifa letu.
No comments:
Post a Comment