MSHAMBULIAJI mkongwe, Mussa Hassan Mgosi amestaafu rasmi soka na sasa anakuwa Meneja wa timu ya Simba SC kwa muda mpaka hapo tutakapo tangaza tena ss kama simba.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba SC, Hajji Sunday Manara
amesema kwamba Mgosi ataagwa rasmi katika mchezo wa kirafiki dhidi ya
URA ya Uganda Jumapili Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mchezo ambao utakuwa ni wakuendeleza kujipima nguvu na kuimarisha kikosi chao cha wekundu wa msimbazi hao.
No comments:
Post a Comment