Wananchi katika halmashauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe wameitaka
serikali kuwatengea sehemu maalum za kutupia taka ngumu ili kuepuka
magonjwa ya mlipuko kutokana na kuzagaa takataka nyingi katika maeneo
yenye mkusanyiko wa watu.
https://www.facebook.com/itvtz/videos/957458167698491/
No comments:
Post a Comment