Majambazi yauwa na kuchomwa moto na wananchi waliokerwa na majambazi hayo nchi
video kamili
https://youtu.be/AGI-XDCtPPc
Tuesday, 30 August 2016
MWENYEKITI ACHAPWA VIBOKO
Katika kuonyesha kuwa huu si wakati wa kudanganyana na kudhani kuwa kila Mtanzania ni " mbumbumbu
" hivyo kuwafanya unavyotaka jana Wananchi wa Rungwe Mkoani Mbeya
waliamua kumtandika Viboko Mwenyekiti wa Kijiji kwa kosa la kuwadanganya
kuhusu Mapato na Matumizi ya Kijiji chao kwa muda wa mwaka mzima.
Baada ya kuitisha huo Mkutano na Wanakijiji kuitikia kwa uwingi wao Mwenyekiti huyo alianza kuwasalimu kwa " mikogo " na " bashasha " zake nyingi kisha kuanza kuwasomea Wanavijiji hao mapato na matumizi ya Kijiji chao kwa mwaka mmoja.
Katika hali ya kushangaza kabisa na ambayo inasemekana ndiyo iliyoamsha hasira na Wanavijiji huyo Mwenyekiti alisema kuwa kwa mwaka mzima Kijiji chao kimekusanya Tsh 10,000/ tu huku akisisitiza Wanavijiji hao kuendelea kuchangia kwa Maendeleo ya Kijiji chao.
Hapo ndipo Wanakijiji cha Rungwe walipoamua kumfundisha adabu huyo Mwenyekiti wao na wakatumwa Watu baadhi kwenda porini kukata Fimbo ambapo wakachaguliwa Watu watatu walioshiba kisawasawa kumtandika Viboko huyo Mwenyekiti huku Wanavijiji wengine wakishangilia.
Mara baada ya kuchapwa hivyo Viboko Mwenyekiti huyo alisikika akisema nanukuu " asanteni sana kwa kunichapa Viboko na nawaombeni mno radhi Ndugu zangu naahidi kujirekebisha lakini hivi Viboko mlivyonichapa leo vitakuwa chachu kwangu na Mimi pia kwenda kuwatandika Viboko hivi hivi tena zaidi Watendaji wangu ambao kimsingi ndiyo wameniponza hadi leo nimeumbuka na kuaibika hivi " mwisho wa kumnukuu Mwenyekiti aliyechapwa " bakora ".
Binafsi Kitendo hiki nimekipenda na kukifurahia mno kwani kinaonyesha kuwa Wananchi wa sasa tena wale waishio Vijijini wanajitambua " kisawasawa " na kwamba wasichukuliwe " poa " labda kwakuwa hawajaenda Shule. Ningependekeza tu hiki Kitendo cha " Kishujaa " cha Wanakijiji huko Rungwe kiigwe kwa nguvu zote na Watanzania wengine sehemu mbalimbali za Kiutawala ili Watawala au wenye kupewa dhamana ya kuwatumikia Wananchi wafanye Majukumu yao ipasavyo na kwa kufanya hivyo nina amini Utendaji wa kiumakini utaonekana na maendeleo ya haraka kupatikana.
Akhsanteni sana wana Rungwe.

MWALIM AENDA JELA MIAKA MIWILI KISA MATUMIZI MABAYA YA PESA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Geita imemtia hatiani na kumhukumu kifungo cha
miaka miwili mwalimu wa Shule ya Sekondari Msalala, Henry Tagata kwa
kosa la kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Sh9 milioni.
WALIMU WA 3 WASIMAMISHWA KAZI KAGERA
Walimu watatu Kagera wasimamishwa kazi kwa tuhuma za kuwa na mahusiano
ya kimapenzi na wanafunzi ambapo miongoni mwao wamebeba ujauzito na
kukatisha masomo
SALUM MWALIM NA WENZIE 18 WAKWEA KARANDINGA NA KUTINGA MAHAKAMAN
Wanachama 18 wa CHADEMA akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar
Salum Mwalimu wafikishwa Mahakama ya Mkoa wa Simiyu.Fuatilia taarifa
zetu kufahamu zaidi
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AWAASA WANA SIASA
Mwanasheria mkuu wa serikali Bwana George Masaju amevitaka vyama vya
siasa nchni kutumia haki zao za kikatiba kwa hekima na busara ili viweze
kupata haki zilizoainishwa kwa mujibu wa sheria badala ya kuchukua
hatua za ubabe na vitishia zivyoweza kusababisha uvunjifu wa amani.
https://www.facebook.com/itvtz/videos/972098556234452/

PROF. LIPUMBA HARUNA ASEMA YY NDIO MWENYEKITI HALALI WA CUF
Prof. Lipumba amesema yeye bado ni Mwenyekiti wa CUF na alishatengua maamuzi ya kujiuzulu, hakitambui kikao kilichokaa Zanzibar na kusitisha uanachama wake.
- Amesema kuwa Katibu Mkuu asipotaja tarehe ya yeye kurejea kazini kama Mwenyekiti, atasubiri barua ya Msajili wa Vyama ili aanze kazi tena kama Mwenyekiti wa Taifa wa CUF
TRA YAJIKITA VYUO VIKUU SASA
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imeanzisha utaratibu wa kufungua clabu za
wanafunzi wa kodi vyuoni ili kurahisisha utoaji na upatikanaji wa elimu
kwa mlipakodi katika jamii.
Akizungumza na wanafunzi wa Chuo kikuu cha mzumbe mkoani Morogoro Mkurugenzi huduma na elimu kwa mlipakodi Bwana Richard Kayombo ameeleza lengo la kuanzisha clabu hizo ni kutaka kuwajenga wanafunzi kuwa na misingi ya ulipaji kodi.
https://www.facebook.com/itvtz/videos/972578022853172/

BUNDI MANYOAA ATUA CUF, WADAU WATOA MAON YAO
Wadau mbalimbali wa siasa wazungumzia uamuzi wa Baraza la CUF kuwasimamisha uanachama baadhi ya viongozi wachama hicho .
https://www.facebook.com/itvtz/videos/972571616187146/

MSICHANA ALIETOROKA MIKONONI MWA BOOK HARAM
Huyu ndio binti aliotoroka mikononi mwa Boko Haram nchini Nigerioa anahadhia
https://www.yahoo.com/news/m/966157ec-f833-3b35-832d-01a58cf96c1c/ss_how-a-nigerian-schoolgirl.html

PROF. I. H. LIPUMBA AUKANA UAMUZI WA CHAMA CHAKE
Prof. leo kakomaa hataki kabisa kuambiwa amesimamishwa uanachama.
Hii safi sana maana maalim anaendesha chama kama mali yake.
Akihojiwa na mtangazaji Spencer Lamerk wa ITV usiku huu, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema kuwa yeye bado ni Mwenyekiti halali wa CUF.
Prof. Lipumba amesema kuwa kufuatia kutengua barua yake ya kujiuzulu Uenyekiti, aliandika barua kwa Katibu Mkuu wake kutaka kurejea kazini kama Mwenyekiti. Katibu Mkuu alimjibu kuwa anatafuta ushauri wa kisheria.
Kuhusu kikao cha Baraza Kuu la CUF kilichomsimamisha uanachama, Profesa Lipumba amesema kuwa kikao hicho hakikuwa halali kwakuwa hakukuwa na akidi ya Wajumbe wa kutoka Tanzania Bara. Amesema kuwa Katibu Mkuu hamshirikishi Naibu Katibu Mkuu Bara na kuonekana akiendesha chama kiimla.
Prof. Lipumba amesema kuwa Katibu Mkuu asipotaja tarehe ya yeye kurejea kazini kama Mwenyekiti, atasubiri barua ya Msajili wa Vyama ili aanze kazi tena kama Mwenyekiti wa taifa wa CUF.

SERIKALI YA TANZANIA KUMWAGA AJIRA 71,496 KWA PAMOJA
Serikali inatarajia kutoa ajira mpya zipatazo71,496 kwa mwaka huu wa
fedha baada ya kukamilika kwa zoezi la kuwaondoa wafanyakazi hewa ambapo
hadi sasa watumishi wapatao 839, tayari wapo katika hatua mbalimbali
wakiwepoo waliopelekwa katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa
(TAKUKURU).
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais,(Utumishi na Utawala Bora),Angela Kairuki aliyasema hayo wakati akizungumzia juu ya utekelezaji na mikakati katika Wizara yake katika kipindi cha “Utekelezaji” kinacho rushwa kupitia Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC1).
“Mpaka sasa kuna baadhi ya watumishi hewa waliofanyiwa mahojiano na polisi na kama upelelezi ukikamilika sheria kali zitachukuliwa ikiwepo kufikishwa mahakani kwa mtumishi atakaye bainika kukutwa na makosa “ Alisema Kairuki
Alisema kuwa kuna baadhi ya Maofisa Utumishi pamoja na Wahasibu ambao wameonekana kuwa si waaminifu kwani baadhi yao wameonekana kuelekeza fedha kwa ndugu zao na miradi yao na wengine walishastaafu lakini majina yao yameonekana bado kuendelea kuwepo katika mfumo wa kupokea.
Kairuki aliongeza kuwa katika kipindi cha Machi mosi mpaka kufikia Agosti 20 mwaka huu, Watumishi hewa wapatao 16,127 walibainika ambapo walikuwa wakisababishi hasara ya mabilioni kwa serikali ambapo serikali kama ingewalipa ingesababisha hasara ya zaidi ya bilioni 16.
“Uhakiki huu ni endelevu kwani baadhi ya Maofisa Utumishi pamoja na Wahasibu si waaminifu hivyo tunawataka waajiri wao kuweka mkazo katika swala hili, kwani tunajua wahasibu wengi wamepewa madaraka lakini si waamiifu”Alisema Kiruki.
Kairuki aliwatoa hofu baadhi ya Watanzani ambao walikuwa wakisubiria ajira mpya kutoka Serikali, alisema kuwa kilichokuwa kikisubiriwa ni takwimu halisi ambazo zitasaidia kuonesha ni watumishi wangapi wameweza kuondolewa.
“hii ni neema kwa wanafunzi waliomaliza vyuo kwani kuna nafasi zipatazo 71,496 kwa mwaka huu wa fedha hivyo napenda kuwahauri vijana kuwa na subira kwa kuto kujiingiza katika makundi yasiyo faa” Alisema kairuki.
Pia aliwataka Maofisa Utumishi kuwa hudumia vizuri watumishi kwa kuwapa haki zao ikiwemo kuwa pandisha madaraja kwa wakati stahili na si vema kwa baadhi ya watu kughushi taarifa za Utumishi wa umma na kusisitiza kuwa kufanya hivyo ni kosa kuibwa sana.

KIJANA TISHIO LA MESSI HUKO ARGENTINA HUYU HAPA
Kijana ambaye anaonekana kuwa tishio kwa Messi ameonyesha macachario yake lei angalia hapa kwa kujua zaid
https://www.yahoo.com/sports/m/8a3c3dfa-41a6-3813-80ca-21f8d73e3eeb/ss_watch%3A-young-argentine-player.html
Saturday, 20 August 2016
KITUKO KTK OLYMPIC AJISAIDIA KTK MASHINDANO
French race walker who was a favorite to win the men’s 50-kilometer
event on Friday collapsed on the course after suffering what appeared to
be severe gastrointestinal problems.
Yohann Diniz, who was in the lead for much of the race, went down 2 hours 22 minutes into the event, which was slated to take about four hours. It is unclear what caused the collapse, but the athlete did not appear well for much of that time and complained of stomach pain. Just 15 kilometers into the event, the 38-year-old was spotted shoving sponges down the back of his shorts to soak up a brown substance running down the back of his legs.
The weather also may have played a role. It is currently 81 degrees in Rio de Janeiro, with a humidity percentage of 65 percent. The two-kilometer loop has water mists set up, but athletes have been using at least as much water to dump over their heads as they have for drinking.
Despite the issues, Diniz didn’t stay down for long. With the help of race officials, the Frenchman who holds the current world record in the event, got up and resumed racing. He hadn’t recaptured his lead by the 40-kilometer split, however. Diniz was in eighth place, about two minutes behind new leader Jared Tallent.
Diniz would eventually finish in seventh place after the third-place walker Hirooki Arai was disqualified for bumping into Canada’s Even Dunfee, who would then take bronze. Slovakia’s Matej Toth won the gold. Tallent finished in second place.
The sole American in the race, John Nunn, finished in 42nd place.

KUJUA KUHUSU ATCL TAZAMA HAPA
MKASA; Rais kuvunja ATCL ?https://www.facebook.com/JamiiForums/videos/1199887010075291/
TABIA 8 ZINAZOUA NDOTO NA MAFANIKIO YA WATU WENGI.*

1. Kuahirisha.
2. Uvivu.
3. Kukata tamaa mapema.
4. Visingizio.
5. Mawazo hasi.
6. Matumizi mabaya ya pesa.
7. Kuridhika.
8. Ulevi kwenye mitandao ya kijamii.
*MAMBO MATATU MUHIMU KUKUFANIKISHA MAISHANI*
1. Maarifa (Knowledge)
Je unafahamu nini? Kwa kiasi gani? Hicho unachofahamu kinakufaidishaje wewe na wanaokuzunguka?
2. Maamuzi sahihi (Right decisions)
Kuwa makini sana na maamuzi unayoyafanya maana yanaweza kuijenga au kuibomoa leo na kesho yako.
3. Nafsi isiyo na ubinafsi (Unselfish mind)
Ukiwafungulia wengine milango na yako itafunguliwa, ukiwafungia na yako itafungwa kabisa. Wajali watu
*MASWALI MATANO (5) YAKUJIULZA AMBAYO YANAWEZA KUBADILISHA MAISHA YAKO*
1. Mimi ni nani?
2. Nimetokea wapi?
3. Naelekea wapi?
4. Nimefika wapi?
5. Natakiwa nifanye nini?
Safari ya maisha kuelekea Mafanikio ama chochote kile unachokihitaji, huanzia katika kujitambua.
DREAM for Success Without Making Excuses in Your Lif
e!!

Subscribe to:
Posts (Atom)