Mchungaji wa kanisa la watu weusi la Bethel United Methodist wa
jimbo la Michigan, Marekani amemkatisha mgombea urais Donald Trump
alipokuwa akihutubia.
Trump alikatishwa kuendelea na hotuba yake alipoanza kumshutumu mpinzani wake Hillary Clinton.
Mchungaji Faith Green Timmons alimkatisha Trump alipomshutumu mgombea
huyo wa chama cha Democratic kuhusu mikataba ya kibiashara duniani.
No comments:
Post a Comment