Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Harrison Mwakyembe amemtaka Mbunge wa
Mbagala Issa Mangungu kuwasilisha kwa maandishi maeneo ya wazi ya
viwanja vyenye nyaraka rasmi katika jimbo lake ili wizara ya Sheria na
katiba iweze kujenga Mahakama katika maeneo hayo ili kukabiliana na
changamoto ya ukosefu wa Mahakama katika jimbo hilo lenye Mahakama moja
kizuiani huku ikiwa na wakazi laki nane.
No comments:
Post a Comment