Thursday, 8 September 2016
JIKOMBOE KATIKA MAISHA ULIYO NAYO SASA 2016
Jaribu kufanya haya ili kujenga uchumi imara katika kipindi hiki cha mwaka wa 2016 ktk robo ya mwisho ya mwaka huu ili mwakan uwe mwenye mafanikio makubwa sana.
1. Usipoteze Fedha
2. Usikae ukasahau sheria namba moja
3. Usiwe na marafiki ambao unawazidi Fedha
4. Jua mkopo mbaya na mkopo mzuri- Asilimia 90 ya vijana wanakopa Ili wanunue magari. Mkopo mzuri ni ule utakaotumika kununua kitu kitakachoingiza fedha na mbaya ni ule utakanunua kitu ambacho kitaendelea Kula fedha zako
5. Jilipe wewe kwanza- watu wengi wana miradi/ biashara lakini hawajilipi. Jilipe Kama wafanyakazi wengine Ili upate fedha ya kuwekeza kwingine.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment