Friday, 9 September 2016

WANNE WANUSURIKA KATIKA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS

Watu 4 wamejeruhiwa katika msafara wa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan baada ya gari moja kuanguka huko Nanguruwe wakati wakitoka mtwara kuelekea Tandahimba.
Majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara, Ligula

No comments:

Post a Comment