Thursday, 8 September 2016

IJUE SIKU YA LEO KATIKA KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA DUNIANI

Leo ni siku ya maadhimisho ya kujua kusoma na kuandika duniani kote ambapo huu ni mwaka wa 50 tangu maadhimisho haya yaanze.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon katika ujumbe wake wa siku ya kimataifa ya kujua kusoma na kuandika amesema zaidi ya watu milioni 750 duniani hawajui kusoma na kuandika.

No comments:

Post a Comment