Thursday, 1 September 2016

MIAKA 52 YA JWTZ NI USHUJAA WA KUJIDAIA



Ikiwa Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ leo linaadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1964.
NDEGE za kijeshi za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zimeruka angani kuadhimisha miaka 52 ya kuanzishwa kwa jeshi hilo. hali hiyo ambayo sio ya kawaida mashujaa wetu hao wameonekana wakipita mitaani wakifanya usafi ktk mikoa mbalimbali na kujitolea damu huku wakishirikiana na wananchi

No comments:

Post a Comment