Watembea kwa miguu Pembezoni mwa barabara ya Morogoro eneo la Jangwani
jijini Dar es Salaam, majira ya jioni wamejikuta wakipata wasiwasi wa
kuhatarisiwa maisha yao baada ya Bwana Joseph Francis aliyekua
akiyumbayumba kunoa panga kisha kuwatishia wapita njia hao.
Tazama hapa kujua zaidi video yake
https://www.facebook.com/itvtz/videos/975196325924675/
No comments:
Post a Comment