Tuesday, 6 September 2016

DAVID TRUMP WACHUNA VIKALI KATIKA KURA ZA MAONI

Mgombea urais wa Chama cha Republican katika uchaguzi wa Marekani, Donald Trump ameanza kumkaribia mpinzani wake wa Democratic, Hillary Clinton ambaye amekuwa akiongoza katika kura za maoni.

No comments:

Post a Comment