Serikali imetangaza kurudisha operesheni tokomeza kwa ukali zaidi na
itakuwa ya kudumu ambapo majangili watakuwa wanashughulikiwa kama
wahujumu uchumi na magaidi kwa
Hayo yalilisemwa na waziri wa mali asili na utalii Profesa Jumanne
Maghembe alipokuwa akipokea msaada wa magari 21 kutoka kutoka kwa taaisi
ya Frankfurt Zoological ya Ujerumani ya kuimarisha ulinzi na doria
katika hifadhi na mbuga.
Pia amewataka wananchi uondoa mifugo yao kwenye hifadhi kwa kuwa
wanaharibu mazingira na uoo wa asili mbugani na kuwataka wawe na subira
serikali kushughulikia matatizo yao ya kuvamiwa na wanyama pori kwenye
mashamba yao.
wanafanya vitendo vya kinyama sana.
No comments:
Post a Comment