Mwenyekiti wa Taasisi ya Mazingira ya Uwekezaji Afrika (ICF),
Benjamin Mkapa amesema Rwanda imefanikiwa zaidi kwenye uwekezaji na
biashara kuliko Tanzania kwa sababu ya kuchangamkia fursa za taasisi
hiyo.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam kuhusu utendaji wa
taasisi hiyo kwa miaka sita, Mkapa, ambaye aliongoza Serikali ya Awamu
ya Tatu, alisema Rwanda ilijitokeza zaidi kwenye taasisi hiyo kuomba
misaada kuliko Tanzania na nchi nyingine
Akasema kwann watanzania wao kazi yao ni kulalamika nasio kufuatilia mambo ya msingi yenye tija kwao na maendeleo , mm najihisi aibu kuwa mwenyekiti halafu watu wangu hawachangamkii fursa za kuomba msaada
No comments:
Post a Comment