Taasisi ya Twaweza imefanya utafiti na kubaini kwamba mwaka 2014,
mwalimu mmoja alikuwa anafundisha darasa lenye wastani wa wanafunzi 83
licha ya sera ya elimu na mafunzo kupendekeza mwalimu mmoja afundishe
wanafunzi 45.
Akizindua ripoti leo, Mkurugenzi Mtendaji wa
Twaweza, Aidan Eyakuze amesema ripoti hiyo inaonyesha hali ni mbaya
zaidi katika mkoa wa Manyara ambako wanafunzi 126 wanafundishwa na
mwalimu mmoja.
hALI HIYO NI KABLA YA ELIMU BURE SASA MAKA HUU ITAKUWAJE FUATANA NA MM KATIKA HILO....
No comments:
Post a Comment