PAUL POGBA AONGOZA KATIKA MAUZO YA JEZI ZAKE SASA DUNIANI
Inaripotiwa kuwa mauzo ya jezi ya Paul Pogba baada ya wiki 3 toka ajiunge na Man United yamefikia pound milioni 190. Hii imejitokeza tangu mshambuliaji huyu kutua Man U kwa mara ya pili baada ya awali kutimkia huko Italia
No comments:
Post a Comment