Thursday, 1 September 2016

TANZANIA MWENYEKITI MPYA WA ASASI MUHIMU NA NYETI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA- SADC- (SADC ORGAN ON POLITISC, DEFENCE AND SECURITY COOPERATION).






Wabunge nchini Brazil jana walipiga kura ya kutokuwa na Imani na aliyekuwa Rais wanachi hiyo, Dilma Rouseff.
Makamu wa rais , Michel Temer ambaye amemrithi Roussef kwa muda, amekula kiapo cha urais hadi ifikapo January 2019.

No comments:

Post a Comment