NAFASI YA UKAIMU UENYEKITI TAIFA KUKOSA SIFA KWA MUJIBU WA KIFUNGU 113 (5) IKISOMWA SAMBAMBA NA KIFUNGU CHA 125 (Y)
Naomba nianze kwa kunukuu
" mgombea uchguzi wowote wa kitaifa wa chama sharti awe na umri
usiopungua miaka isle sheria za nchi zimeagiza vinginvevyo " mwisho wa kunukuu
125 (Y)
" kila anapotajwa mtu mwenye dhamana ya kazi fulani kwa kutaja madaraka
ya kazi yake ifahamike kuwa mtu anayehusika ni pamoja na MTU yoyote
yule anayekaimu au aliyeteuliwa kwa mujibu wa masharti ya katiba hii
kushikilia dhamana ya kazi hiyo "
anayeshikilia dhamana ya kazi ya
mkiti taifa ana miaka 35 ?! wakati mnampa unaibu katibu mkuu huko nyuma
na akaharibu alikuwa na umri gani ?! mbona mna macho lakini hamuoni na
MNA masikio lakini hamsikii ?! kesho inshaalh nitamalizia kifungu cha
mwisho kuonyesha namna baraza mkuu mlivyoknyga, kusinyaga, kukandamiza
na kukiuka vifungu vya katiba kosa ambalo mkutano mkuu inabidi uwavue
uanachama kwa kushindwa kuheshimu masharti ya katiba hii,
MUANDISHI
WA MAKALA HAYA NI MTAFITI, MCHMBUZI WA MAMBO YA SIASA, MWANAHARAKATI,
MKITI WA TAWI LA TALEBAN CUF-CHAMA CHA WANANCHI NA MCHAMBUZI WA SERA
(POLICY ANALYST) ................
hirini na moja (21) na anayejua kusoma na kuandika
kiswahili au kiingereza. mkiti wa taifa , makamu mkiti katibu mkuu na
mgombea nafasi ya urais wa jamhuri ya muungano na urais wa Zanzibar
lazima awe na umri usiopungua miaka 35 isipokuwa pa
No comments:
Post a Comment