Mameneja wa timu za mji mmoja wa Manchester wana kutna huku kila mmoja anajulikana kwa kwa tambo zake za ushindi na kuitwa vita za mameneja badala ya vita dhidi ya ushindi ni Jose Mourinho wa Man U na Pep Guardiola wa Man City siku ya kesho watakuwa wakionyesha uwezo wao mara baada ya kupotezana kwao miaka takribana miwili iliyopita wakiwa spain sasa wakutana England tena
No comments:
Post a Comment