Waziri wa Elimu Kim Yong-jin anadaiwa kuuawa baada ya kusinzia katika mkutano wa kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong-un.
Baadhi ya ripoti zinasema waziri huyo, ambaye amekuwa pia akihudumu
kama mmoja wa Manaibu Waziri mkuu, alitekwa na usingizi wakati wa
mkutano jambo ambalo lilichukuliwa kama kumkosea heshima kiongozi huyo.
No comments:
Post a Comment