Maelfu ya watu wakishuhudia kupatwa kwa jua katika mji mdogo
wa Rujewa,wilayani mbarali mkoani Mbeya
W
Kwa Tanzania tukio hili lilishawahi kutokea mnamo mwaka 1977.
Kwa Tanzania tukio hili lilishawahi kutokea mnamo mwaka 1977.
akiwa tayari kushuhudia tukio adhimu na lakihistoria la kupatwa kwa jua huku wageni kutoka sehemu mbalimbali wakiwa nao wamekwisha kufika eneo hilo kushuhudia tukio hilo,
Mtaalamu
wa Anga kutoka Chuo kikuu huria Tanzania Dk.Noor Jiwaj afafanua maana ya
Kupatwa kwa jua kupitia maojiano maalum na mwandishi wetu leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment