Tuesday, 6 September 2016

WANAUME NDIO WANAONGOZA KTIK KUWATESA WANAWAKE DUNIANI

Asee sisi Wanaume tunawatesa sana Hawa Wanawake jamani hapo Zamani tulikuwa tunapenda Wembamba (English figure) wakawa wanajikondesha hadi wanatia huruma..........
 Baadae tukaanza kupenda Sura nzuri hasa weupe nao kama kawaida yao Wakaaza kujipaka makeups za kila Aina hadi za kienyeji pamoja na kujichubua kwa sana tu..
Saizi tunapenda Makalio Makubwa nao kama kawaida hawataki kutegea Makalio yakaanza kubustiwa kinoma-noma...
Sasa Najiuliza siku tukianza kupenda Vichwa vikubwa kama Helmet ya pikipiki... Itakuwa patashika Hapa mjini........

makofi kwetu Tafadhali.

No comments:

Post a Comment