Rais John Magufuli akimbembeleza Kiongozi wa wakazi wa nyumba za
Magomeni Kota zilizobomolewa, Mwajuma Sama aliyekuwa akilia kwa furaha
baada ya rais kutangaza kuwa baada ya nyumba mpya kujengwa katika eneo
hilo wakazi waliondolewa watakaa miaka mitano bila kulipa pango.
Tazama hapa kwa video kamili
https://www.facebook.com/itvtz/videos/978768958900745/
No comments:
Post a Comment