Friday, 9 September 2016
MAHAKAMA YA ARDHI NA MAKAZI YANUSURU MALI ZA MBOWE KUUZWA
Mahakama ya ardhi na makazi imewaomba NHC na mawakala wao (madalali) waliopewa dhamana ya kudai kwa watu na amakampuni yanayodaiwa na shirika la nyumba kusimamisha zoezi la kuuza mali za mwenyekiti wa Taifa wa chadema na mbunge wa Hai Mh Freeman Mbowe kwakuwa zimefunguliwa kesi ya madai ya msingi, ambayo inaongozwa na Kibatala na mwenzie.
NHC awali waliomba mahakama hiyo kutupilia mbali kesi hiyo kwakuwa mahakama hiyo haiana hadhi ya kusikiliza kesi hiyo na pia haina madai ya msingi kwakuwa Mbowe na mdaiwa sugu hivyo ikawa inaomba ipewe idhini ya kuuza mali za Mbowe ili kurejesha pesa zao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment