Maofisa wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) bado wanaendelea kuondoa
vitu katika ofisi za jengo hilo linalomilikiwa na Freeman Mbowe
kutokana na deni la 1bilioni analodaiwa.
Mwananchi iliyopo eneo
la tukio sasa hivi imeshuhudia magari yakiendelea kusomba baadhi ya mali
huku maofisa wa NHC ambao hawakutaka kutaja majina yao wakisema
wanachukua mali zinazoweza kupigwa mnada tu.
No comments:
Post a Comment