Utafiti mpya umebaini kuwa asilimia 96 ya wananchi wanamkubali Rais John Pombe Magufuli.
Taasisi ya Twaweza jana ilitoa utafiti huo ambao ulibaini zaidi kuwa
asilimia 58 ya wananchi hao hawapingia kitendo chochote cha Rais.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza kwenye utafiti uitwao Rais wa Watu?
Tathmini na matarajio ya wananchi kwa serikali ya awamu ya tano.
Muhtasari huu unatokana na takwimu kutoka Sauti za Wananchi.
Sehemu walizo fanyia kazi katika utafiti wao ni kama ifuatavyo:-
1. Kuondoa watumishi hewa wananchi wamemkubali kwa 69
2. Kutoa elimu bure 61
3. Usimamizi wa wafanya kazi wake 61
4. Kasi yake kuleta mabadiliko 88
5. Usimamizi wa wafanyakazi wengine ktk serikali za mitaa na serikali kuu 78 mwenyekiti wa mtaa/ kijiji
Diwani 76 na mbunge 68
No comments:
Post a Comment