HEKARI 30 ZA BANGE NA KILO 50 ZA MBEGU VIMEKAMATWA
yombo vya dola wilayani Tarime mkoani Mara kwa mara nyingine wamekamata
na kufyeka mashamba makubwa ya bangi yenye ukubwa wa ekari zaidi ya 30
na kilo 50 za mbegu ya zao hilo zilizokuwa zimeandaliwa kupandwa katika
mashamba mapya zaidi ya 15.
No comments:
Post a Comment